Notes za Walimu au Mwalimu Daraja la III B na III C CT zote Kujiandaa

 Jipange Vizuri Kwa Usaili – Notes Muhimu kwa Walimu



Tumekuwekea mkusanyiko wa notes muhimu kwa walimu wanaojiandaa na usaili (interview) kwenye nafasi mbalimbali za ualimu.

Hizi notes zimekusanywa kwa uangalifu ili kukusaidia kurudia mada muhimu, kujiandaa kwa maswali ya kitaaluma, na kuongeza uelewa kwenye maeneo yanayoulizwa mara nyingi kwenye usaili.


📘 Ndani ya folder utapata:

Notes za masomo mbalimbali

Miongozo ya ufundishaji

Misingi ya curriculum na competency-based learning

Maswali ya mara kwa mara kwenye usaili (FAQ)

Mambo ya msingi ambayo mwalimu anatakiwa kuyajua kabla ya interview

Hizi notes ni msaada mzuri kwa:

✓ Walimu wanaojiandaa na interview

✓ Walimu waliopo kazini wanaotaka kujikumbusha

✓ Walimu wapya wanaotaka kuongeza uelewa wa ufundishaji

➡ Bonyeza hapa kupakua na kusoma notes:

👉 PAKUA HAPA SASA

Tumia nafasi hii kujiandaa vizuri na kuongeza nafasi ya kufaulu usaili.kumbuka: Maarifa ni nguvu.


Post a Comment

0 Comments