Nafasi 41 za Kazi: TIA, IFM, EASTC, IRDP, CBE, TAWIRI na IAA – Oktoba 2026
Kumb. Na. JA.9/16/01/59 | Tarehe ya tangazo: 21 Oktoba 2026
Maelezo Mafupi ya Taasisi
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kwa niaba ya taasisi saba, inawaalika Watanzania wenye sifa, weledi na uadilifu kuomba nafasi 41 za kazi. Taasisi hizo ni:
Tanzania Institute of Accountancy (TIA)
The Institute of Finance Management (IFM)
Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC)
Institute of Rural Development Planning (IRDP)
College of Business Education (CBE)
Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI)
Institute of Accountancy Arusha (IAA)
Nafasi za Kazi na Sifa Zinazohitajika
1. Tanzania Institute of Accountancy (TIA) – Nafasi 4
Nafasi
Idadi
Sifa
Ngazi ya Mshahara
Tutorial Assistant – Accounting and Finance
1
Shahada ya kwanza katika Accountancy, Finance, au Business Administration/Commerce (major Accountancy au Finance) yenye GPA ya angalau 3.5
PUTS 1.1
Assistant Lecturer – Marketing
2
Shahada ya uzamili katika Business Administration (major Marketing) au Marketing and Public Relations; GPA ya angalau 3.5 shahada ya kwanza na 3.8 uzamili
PHTS 2.1
Assistant Lecturer – Accounting and Finance
1
Shahada ya uzamili na ya kwanza katika Accountancy, Finance, au Business Administration/Commerce (major Accountancy au Finance); GPA ya angalau 3.5 shahada ya kwanza na 3.8 uzamili
PHTS 2.1
2. The Institute of Finance Management (IFM) – Nafasi 6
Kwa nafasi zote za IFM: GPA ya angalau 3.5 shahada ya kwanza (au wastani wa B+ kwa shahada zisizo na madaraja) na 3.8 uzamili (au wastani wa B+). Ngazi ya mshahara: PHTS 2.
Nafasi
Idadi
Sifa za Elimu
Assistant Lecturer (Insurance and Risk Management)
1
Uzamili katika Insurance and Risk Management na Bachelor of Science in Risk Management au sifa sawa na hizo
Assistant Lecturer (Actuarial Science)
1
Uzamili katika Actuarial Science/Studies, Finance, Investment and Financial Management; shahada ya kwanza katika Actuarial Science/Studies au sifa sawa na hizo
Assistant Lecturer (Communication Skills)
1
Uzamili katika Linguistics na shahada ya kwanza au Advanced Diploma katika Linguistics, au sifa sawa na hizo
Assistant Lecturer (Accounting and Finance)
1
Uzamili katika Accounting, Accounting and Finance, Finance and Investment, Finance, au Accounting and Information Management System; shahada ya kwanza katika Accountancy, Commerce in Accounting au Advanced Diploma in Accounting, au sifa sawa na hizo
Assistant Lecturer (Banking and Finance)
2
Uzamili katika Banking and Finance, Banking and Information System, Money, Finance and Investment, au Finance; shahada ya kwanza katika Banking and Finance au sifa sawa na hizo
3. Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) – Nafasi 6
Nafasi
Idadi
Sifa
Ngazi ya Mshahara
Assistant Lecturer (Data Science)
3
Uzamili katika Data Science, Computer Network Engineering, Computer Science au Information Technology; GPA ya angalau 3.5 kati ya 5 uzamili na 3.5 shahada ya kwanza
PHTS 2/1
Assistant Lecturer (Actuarial Statistics)
2
Shahada ya kwanza katika Actuarial Statistics/Science; uzamili katika Actuarial Statistics/Science, Financial Mathematics au Insurance and Actuarial Science; GPA ya angalau 3.8 kati ya 5 uzamili na 3.5 shahada ya kwanza
PHTS 2
Tutorial Assistant (Data Science)
1
Shahada ya kwanza katika Data Science yenye GPA ya angalau 3.5 kati ya 5
PHTS 1
4. Institute of Rural Development Planning (IRDP) – Nafasi 5
Nafasi
Idadi
Sifa
Ngazi ya Mshahara
Assistant Lecturer (Statistics)
1
Uzamili na shahada ya kwanza katika Statistics; GPA ya angalau 3.5 kati ya 5 shahada ya kwanza
PHTS 1.1
Assistant Lecturer (Land Management and Valuation)
2
Uzamili na shahada ya kwanza katika Land Valuation au Land Management and Valuation; GPA ya angalau 3.5 kati ya 5 shahada ya kwanza na 3.8 uzamili
PHTS 2.1
Assistant Lecturer (Regional Development Planning)
1
Uzamili katika Regional Development Planning; GPA ya 3.5 au zaidi shahada ya kwanza katika Regional Development Planning
PHTS 2
Assistant Lecturer (Accounting and Finance)
1
Uzamili na shahada ya kwanza katika Accounting and Finance; GPA ya angalau 3.5 kati ya 5 shahada ya kwanza na 3.8 kati ya 5 uzamili
PHTS 2.1
5. College of Business Education (CBE) – Nafasi 6
Kwa nafasi zote za CBE, mwombaji anatakiwa kuwa amesoma fani zinazofanana katika shahada ya kwanza na uzamili.
Uzamili (NTA level 9) au sifa sawa na hiyo; shahada ya kwanza katika Metrology/Measurement Science au Applied Measurement Science; GPA isiyopungua 4.0 (au B+) uzamili na 3.8 shahada ya kwanza
PHTS 2
Assistant Lecturer (Accounting and Taxation)
1
Uzamili (NTA level 9) au sifa sawa na hiyo; shahada ya kwanza katika Accounting, Taxation au Accounting and Taxation; GPA isiyopungua 4.0 (au B+) uzamili na 3.8 shahada ya kwanza
PHTS 2
Assistant Lecturer (Education – Commerce)
1
Master of Education in Commerce au Master of Education Management and Administration; shahada ya kwanza ya Bachelor of Education in Commerce au Bachelor of Business Studies with Education, au sifa husika; GPA ya angalau 4.0 uzamili na 3.8 shahada ya kwanza
PHTS 2.1
Assistant Lecturer (Accountancy)
3
Uzamili katika Accountancy, Accounting and Finance, au MBA (major Accountancy au Accounting and Finance); shahada ya kwanza katika Accountancy, Accounting and Finance au fani inayohusiana; GPA ya angalau 4.0 (au B+) uzamili na 3.8 shahada ya kwanza
PHTS 2.1
6. Tanzania Wildlife Research Institute (TAWIRI) – Nafasi 2
Nafasi
Idadi
Sifa
Ngazi ya Mshahara
Research Officer II (Veterinary Medicine)
1
Uzamili na shahada ya kwanza katika Veterinary Medicine; angalau Upper Second Class, au wastani wa B+ kwa shahada zisizo na madaraja
PRSS 2
Research Officer II (Beekeeping)
1
Uzamili na shahada ya kwanza katika Beekeeping; angalau Upper Second Class, au wastani wa B+ kwa shahada zisizo na madaraja
PRSS 2
7. Institute of Accountancy Arusha (IAA) – Nafasi 12
Kwa nafasi zote za IAA isipokuwa pale palipoelezwa tofauti: shahada ya kwanza yenye GPA 3.5 na uzamili wenye GPA 3.8.
Nafasi
Idadi
Sifa za Elimu
Ngazi ya Mshahara
Assistant Lecturer in Tourism and Hospitality
1
Uzamili katika Food Production; shahada ya kwanza au Advanced Diploma katika Food Production au sifa sawa na hizo; GPA ya angalau 3.5 shahada ya kwanza na 3.5 uzamili
PHTS 2.1
Assistant Lecturer (Programming)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika Computer Science, Information Security au Information System
PHTS 2
Assistant Lecturer (French Language)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika French Language, na kusajiliwa kama Technical Teacher au sifa sawa na hiyo
PHTS 2
Assistant Lecturer (Records and Information Management)
2
Shahada ya kwanza na uzamili katika Records and Information Management, Records and Archive Management au Information Science
PHTS 2
Assistant Lecturer (Accounting and Finance)
2
Shahada ya kwanza na uzamili katika Accounting and Finance, au Business Administration (major Accounting and Finance)
PHTS 2
Assistant Lecturer (Insurance and Social Protection)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika Insurance and Risk Management, Insurance and Social Protection, Insurance and Actuarial Science au Risk Management
PHTS 2
Assistant Lecturer (Wildlife Management)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika Wildlife Management, Natural Resources Management au Wildlife Conservation
PHTS 2
Assistant Lecturer (Cyber Security)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika Information Security, Cyber Security, Ethical Hacking, Forensic, Computer Security, Network Security au Data Security
PHTS 2
Assistant Lecturer (Strategic and Peace Studies)
1
Uzamili katika International Relations and Diplomacy, Peace and Conflict Studies, Strategic Studies (Security) au sifa sawa na hizo; GPA ya angalau 3.5 shahada ya kwanza na 3.8 uzamili
PHTS 2
Assistant Lecturer (Insurance and Risk Management)
1
Shahada ya kwanza na uzamili katika Insurance and Risk Management; GPA ya angalau 3.5 kwa kila ngazi
PHTS 2.1
Masharti na Taarifa Nyingine Muhimu
Waombaji wote lazima wawe raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wasizidi umri wa miaka 45. Kwa taasisi za kijeshi (Paramilitary): nafasi zisizo za shahada, umri usizidi miaka 25; nafasi za shahada, umri usizidi miaka 30.
Waombaji waombe kulingana na taarifa zilizotolewa kwenye tangazo hili.
Ambatisha nakala zilizothibitishwa za vyeti vya Uzamili/Shahada/Advanced Diploma/Diploma/Cheti, nakala za matokeo (transcripts) za ngazi hizo, vyeti vya usajili wa kitaaluma na mafunzo kutoka mamlaka husika (inapohitajika), na cheti cha kuzaliwa.
Haikubaliki kuambatisha: matokeo ya Kidato cha Nne na cha Sita (result slips), testimonials, na transcripts za sehemu (partial transcripts).
Mwombaji apakie picha ndogo (passport size) ya hivi karibuni kwenye Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal).
Watumishi walioajiriwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba; wanatakiwa kuzingatia Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
Mtumishi aliyestaafu Utumishi wa Umma kwa sababu yoyote ile haruhusiwi kuomba.
Mwombaji aonyeshe wadhamini watatu (referees) wanaoheshimika pamoja na mawasiliano yao yanayopatikana.
Vyeti vyote vya elimu vya nje ya nchi LAZIMA vitambuliwe na mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTVET). Waombaji wa nafasi zenye sharti la GPA LAZIMA waambatishe cheti cha ukokotoaji wa GPA (GPA calculation certificate) kutoka TCU.
Barua ya maombi iliyosainiwa iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza na kuelekezwa kwa:
Secretary,
President's Office, Public Service Recruitment Secretariat,
S.L.P. 2320,
Mtaa wa Mahakama, Tambukareli,
Dodoma.
Ni walioorodheshwa (shortlisted) pekee watakaoarifiwa tarehe ya usaili.
Atakayewasilisha vyeti vya kughushi au taarifa za uongo atachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kupitia Mfumo wa Ajira (Recruitment Portal) kwa anwani: http://portal.ajira.go.tz. Maombi yatakayowasilishwa kwa njia nyingine yoyote hayatazingatiwa.
Welcome to Upsten Ajira Hub – your trusted platform for the latest job opportunities, internships, and scholarships in Tanzania and beyond. Our mission is to connect job seekers with reliable and up-to-date opportunities while making the job search process simple and accessible.
0 Comments