TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: Wauguzi 20.

Hospitali ya Huruma iliyopo wilayani Rombo, Kilimanjaro inatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa.

📋 NAFASI ZILIZOPO (Jumla Nafasi 20)

Afisa Muuguuzi daraja la II (Nursing Officer NO) – Nafasi 5.

Afisa Muuguuzi Msaidizi daraja la II (Assistant Nursing Officer ANO) – Nafasi 15.

✅ SIFA ZA MWOMBAJI

Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 – 45.

Awe na cheti/diploma/shahada husika na leseni halali ya kufanyia kazi.

📝 JINSI YA KUOMBA

Tuma barua ya maombi pamoja na vyeti na CV kwenda: info@hurumahospital.co.tz.

Simu: 07580276551.

⚠️ TAREHE YA MWISHO

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/02/2026.

Post a Comment

0 Comments