Habari! Katika kukuwezesha kujiandaa vyema na usaili wa kazi (interviews), tumekuandalia mfululizo wa mitihani ya saikolojia (Psychology Series) itakayokusaidia kujipima uwezo wako kabla ya siku ya usaili.
Mitihani hii bado ipo hewani na unaweza kuifanya kwa kufuata link husika hapa chini:
Mfululizo wa Mitihani ya Saikolojia (Psychology Series)
*Mitihani kwaajili ya kujiandaa na usaili bado ipo mitamboni*
*Psychology series*
*Series 1*
*Series 2*
*Series 3*.
*SERIES 4*
Bonyeza Hapa Kuanza Mtihani
Zingatia: Hakikisha unafanya mfululizo wote ili kupata uelewa mpana wa maswali yanayoweza kujitokeza kwenye usaili wa saikolojia.
Kama bado haujajiunga na channel yetu, karibu uendelee kupata updates mbalimbali za ajira na mafunzo.
0 Comments