11 APRILI 2026

Matokeo ya Usaili wa Kuandika (Written Test Results)

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetoa matokeo ya usaili wa kuandika kwa ajira mbalimbali serikalini. Waombaji waliofaulu wanatakiwa kufuata maelekezo ya hatua inayofuata ya usaili wa mahojiano au vitendo.

Orodha Kamili ya Kada Zilizotolewa Matokeo:

Mhasibu Daraja la II (Accountant II)
Afisa Utawala II (Administrative Officer II)
Afisa TEHAMA II (ICT Officer II)
Msaidizi wa Kumbukumbu II (Records Assistant)
Afisa Ugavi/Logistics II (Procurement II)
Mhandisi wa Ujenzi II (Civil Engineer II)
Afisa Rasilimali Watu II (HR Officer II)
Mkaguzi wa Ndani II (Internal Auditor II)
Dereva Daraja la II (Driver II)
Katibu Mahsusi II (Personal Secretary II)
Afisa Kilimo II (Agricultural Officer II)
Afisa Maendeleo ya Jamii II
Msaidizi wa Hesabu (Accounts Assistant)
Afisa Sheria II (Legal Officer II)
Mtakwimu Daraja la II (Statistician II)
Afisa Afya Mazingira II

JE, JINA LAKO LIPO?

Bofya kitufe hapa chini kutazama majina yote ya waliofaulu na tarehe za usaili wa Oral.

📥 Pakua PDF NZIMA hapa
MUHIMU: Hakikisha unazingatia tarehe, muda na mahali utakapopangiwa kufanyia usaili wa mahojiano. Usisahau vyeti vyako halisi (Original Certificates) siku ya usaili.

Chanzo: Portal ya Ajira (PSRS) - www.ajira.go.tz

Post a Comment

0 Comments