Tangazo la Nafasi za Kazi Chuo cha Ualimu Singida (STTC) – Ajira 2026
Chuo cha Ualimu Singida (STTC) ni taasisi ya elimu inayojishughulisha na kutoa mafunzo bora ya ualimu, utafiti na huduma kwa jamii kwa lengo la kuzalisha wataalamu wenye umahiri, maadili na ubunifu. Kutokana na upanuzi wa shughuli za kitaaluma na kiutawala, Chuo kinawatangazia Watanzania wenye sifa, uwezo, uadilifu na ari ya kufanya kazi kuomba nafasi zilizotangazwa.
Nafasi za Kazi Zinazotangazwa
- Mkuu wa Chuo – Singida Polytechnic College

Waombaji wote wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao pekee (ONLINE ONLY) kupitia mfumo rasmi wa ajira wa SUPA unaopatikana kupitia tovuti ya Chuo.
Waombaji watakaokidhi vigezo pekee ndio watakaoitwa kwenye usaili.
Chuo cha Ualimu Singida kinatoa fursa sawa za ajira kwa wote. Wanawake, watu wenye ulemavu na waombaji wenye sifa kutoka maeneo yote ya Tanzania wanahimizwa kuwasilisha maombi yao.
0 Comments