BREAKING NEWS: KUITWA KAZINI – UDSM 2026 | Waombaji Waliofaulu Usaili Waitwa Kukamilisha Taratibu za Ajira

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kawaita Kazini Waombaji Waliofaulu Usaili

Maelezo ya Tangazo

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 2 hadi 4 Mei, 2026 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumanne, tarehe 1 Septemba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi.

Nafasi na Majina ya Waombaji Waliofaulu

Na. Kada Jina Kamili
1 Tutorial Assistant (Procurement And Logistics Management) Frank Lembriss Kivuyo
Stanley Loveluck Simkoko

Nyarka za Kuwasilisha

  • Vyeti halisi vya elimu (Original Certificates and Transcripts) pamoja na nakala mbili za vyeti hivyo ambavyo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria.
  • Cheti cha kuzaliwa.
  • Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA).
  • Picha ndogo nne za rangi, saizi ya passport (four coloured passport size photographs).

Taarifa Nyingine Muhimu

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi au hawakufaulu usaili. Hivyo, wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Waombaji waliofaulu wanapaswa kufika katika eneo lililotajwa siku ya Jumanne, tarehe 1 Septemba, 2026 kuanzia saa tatu kamili asubuhi kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira.

Imetolewa na Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

```0

Post a Comment

0 Comments