PART02: Matokeo ya Usaili wa Kuandika 14 Agosti 2026 – Ajira Portal Tanzania

Matokeo ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 14/08/2026

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetoa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 Agosti 2026.

Taarifa Muhimu

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.

Nafasi Zilizotajwa

  • Afisa Habari Daraja la II - Fani ya Uandishi wa Habari
  • Artisan II (Plumbing and Pipe Fittings)
  • Artisan II (Pump Operator)
  • Laboratory Assistant II
  • Mkaguzi Daraja la II - Menejimenti ya Kodi
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Survey)
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Famasi (Pharmacy)
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Sayansi ya Taarifa za Kijiografia (Geoinformatics)
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Sayansi ya Takwimu Bima
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Uhandisi wa Umeme
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Uhandisi wa Umwagiliaji na Rasilimali za Maji
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Usanifu wa Majengo (Architecture)
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Ustawi wa Jamii (Social Welfare)
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Uhandisi wa Maji na Usafi wa Mazingira
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Uhandisi wa Ujenzi
  • Mkaguzi Daraja la II - Fani ya Uthaminishaji Ardhi (Land Valuation)
  • Mkaguzi Daraja la II
  • Quality Assurance Officer II (Chemistry)
  • Research Assistant - (Civil Engineering)

Tarehe ya Usaili

Usaili wa kuandika ulifanyika tarehe 14/08/2026.

Tazama hapa

0

Post a Comment

0 Comments