Tangazo la Kuitwa Kazini - Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma - Tarehe 16 Septemba, 2026
Kumb. Na: JA. 9/18/01"E"/59
Tarehe: 16/09/2026
Kuhusu Taasisi
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma ni taasisi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, iliyo chini ya Ofisi ya Rais, inayohusika na uendeshaji wa mchakato wa usaili na uajiri katika nafasi mbalimbali za kazi katika Utumishi wa Umma.
Maelezo ya Tangazo
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 16-12-2025 na tarehe 20-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Orodha ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi
1. Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Hesabu Daraja la II (Accounts Officer II) | Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela | Doreen Ipyana Kibona |
| Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant Nursing Officer Grade II) | Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela | Walfuganga Ignas Mbagule |
| Tabibu Daraja la II (Clinical Officer Grade II) | Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela | Frederca Fredrick Kimambo; Nassania Elias Ndinga |
2. Halmashauri ya Wilaya ya Chunya
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Mifugo Msaidizi Daraja la II (Livestock Field Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | Geofrey Joackim Albano |
| Afisa TEHAMA II - Fani ya Usimamizi wa Mitandao ya TEHAMA (Network Administrator) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | Hellon Goodluck Mango |
| Afisa Ushirika Daraja la II (Cooperative Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | Saidi Shabani Mtengeti |
| Msaidizi wa Afya Daraja la I (Health Assistant Grade I) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | Frorensiana Yohani Richard |
| Mtakwimu Daraja la II (Statistician Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | Kened Abelson Ngomuo |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Idodoma | Hashimu Ramadhani Lissu; Kelvin Nichoraus Mmary |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Majiweni | Richard Isack Bakari |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Manga | Exazaveri Laurent Hubert |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Shaurimoyo | Abdalah Hemedi Nyoosha; Boazi Elia Kidunda |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Sipa | Sifael Silasi Sagday |
3. Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo
| Kada | Kituo | Jina |
| Msaidizi wa Afya Daraja la I (Health Assistant Grade I) | Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo | Sada Jonasi Magesa |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Nyabwayi | Kulwa Steven Manyama |
| Mwalimu Daraja la IIIA (Teacher Grade IIIA) | Shule ya Msingi Samvura | Nasson Dauson Kalan |
| Tabibu Daraja la II (Clinical Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo | Jackline Exsupery Macha |
4. Halmashauri ya Wilaya ya Masasi
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi Daraja la II (Assistant Community Development Officer II) | Halmashauri ya Wilaya ya Masasi | Magreth John Semkande |
5. Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Mipango Daraja la II (Planning Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama | Frank Ayubu Kulangwa |
6. Halmashauri ya Wilaya ya Urambo
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Biashara Daraja II (Trade Officer II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Hamis Cleophas Mazyai; Julieth Steven Malisa |
| Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II (Agricultural Field Officer II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Michael Christopher Diu |
| Afisa Mipango Daraja la II (Planning Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Witness Oransius Mgomba |
| Afisa Ukaguzi wa Ndani Daraja la II (Internal Audit Officer Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Paul Musa Ntwinya |
| Afisa Usafirishaji Daraja la II (Transport Officer II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Haeshi Mussa Nyanza |
| Fundi Sanifu Daraja la II Ujenzi (Civil Technician Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Calvin Yolam Mgongo; Huruma Elineema Jambii |
| Mtakwimu Daraja la II (Statistician Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo | Nyansio Deus Tiho |
7. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Serikali za Mitaa II (Local Government Officer II) | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma | Powell Saitoti Maruma |
| Driver II | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma | Abdul Said Kazini; Dickson Charles Haroune |
| Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant Grade II) | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma | Adelaida Felix Mkage; Aneth Robart Ngendelo; Frank Kurwa Musiba; Hamisa Omari Doti |
| Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma | Furaha Malali Deus; Rebeca Wambura Mwita |
8. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa Ugavi Daraja la II (Supplies Officer Grade II) | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora | Faraji Juma Kampyata |
| Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora | Shamu Seleman Sosy |
9. Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA)
| Kada | Kituo | Jina |
| Afisa wa Sheria Daraja la II (Legal Officer Grade II) | Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) | Anitha Lucas Mwaisaka |
| Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant Grade II) | Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) | Mwanaisha Juma Faru |
| Msanifu Majengo Daraja la II (Architect Grade II) | Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) | Peter Gerishom Richard |
Maelezo Muhimu
Tangazo hili limetolewa na Katibu, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma.
Pakua PDF Hapa
0 Comments