Tangazo la Kuitwa Kazini Tarehe 08 Septemba 2026 | Ajira Portal

Tangazo la Kuitwa Kazini - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (08 Septemba 2026)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Ofisi ya Rais) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 11-08-2025 na tarehe 17-07-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Kumb. Na: JA. 9/18/01"E"/56
Tarehe ya Tangazo: 08/09/2026

Maelekezo Muhimu kwa Waliofaulu

  • Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, barua zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia akaunti zao za Ajira Portal, kwenye sehemu ya "My Applications".
  • Waombaji wanapaswa kupakua na kuchapisha (Download and Print) barua hizo kisha kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
  • Waombaji waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa mwajiri katika muda ulioainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi.
  • Wanatakiwa kuwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea, ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
  • Wale ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba tena nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Orodha ya Waliochaguliwa kwa Kada na Kituo cha Kazi

1. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)

Na Kada Kituo Jina la Mteuliwa
1Afisa Rasilimali Watu Daraja la II (Human Resource Officer Grade II)Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)LAURENT DOMINIC TEMBO
1Afisa Tehama Msaidizi Daraja la II (Assistant ICT Officer Grade II)Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)FATMA ABDALLAH SULEIMAN
1Afisa Ugavi Daraja la II (Supplies Officer Grade II)Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)HASSANI ALLY HASSANI
1Driver Grade IIChuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)TUMAINI SAMWELI MKUMBO
1Mtakwimu Daraja la II (Statistician Grade II)Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)SUZIETH JOEL KIMARO
1Planning Officer IIChuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)ABDULRAHMAN SAID MOHAMMED
1Public Relation Officer IIChuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)BURTON MOSSES MWALWISI
2Technician II (Electrical)Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)BWETE WILSON MWANYANJE; MOHAMED ABUBAKARY MOHAMED

2. Halmashauri ya Wilaya ya Busega

Na Kada Kituo Jina la Mteuliwa
1Mwalimu Daraja la III C - Somo la Biashara (Business Studies)Shule ya Sekondari LamadiCHRISTINA SIMON THEOPHIL
1Mwalimu Daraja la III C - Somo la Biashara (Business Studies)Shule ya Sekondari MasanzaTECLA MAGNUS NDOMBA

3. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Songwe

Na Kada Kituo Jina la Mteuliwa
1Afisa Ugavi Daraja la II (Supplies Officer Grade II)Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SongweWILLIAM JANUARY KATUMBO
1Dereva Daraja la II (Driver Grade II)Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SongweDICKSON FLORIAN PAULO
3Msaidizi wa Hesabu Daraja la II (Accounts Assistant II)Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SongweEMANUELI MALKIADI TIPPE; JUMA MASESA KASHINDYE; PETER CHARLES BUSALU
2Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II)Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SongweFIDESTA PHILIPO MWAKASEGE; HAPPYNESS GIDURA KIRWAY

Tangazo hili limetolewa na Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

Pakua PDF Hapa

Post a Comment

0 Comments