CNS Group Yatangaza Nafasi Zaidi ya 100 za Ajira - Morogoro, Tanzania 2026

CNS Group Yatangaza Nafasi Zaidi ya 100 za Ajira - Morogoro, Tanzania

CNS Group ni kampuni inayojishughulisha na Kilimo Biashara (Agribusiness) na Uendelezaji wa Mashamba (Estate Development). Kampuni hiyo imetangaza nafasi zaidi ya 100 za kazi katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania.

Sekta ya Ajira Agribusiness & Estate Development
Eneo la Kazi Morogoro, Tanzania
Tarehe ya Mwisho ya Maombi 18 Septemba 2026

Idara ya Warsha (Workshop Department)

Fani na Warsha (Technical & Workshop)

  • Workshop Supervisor - Nafasi 1
  • Workshop Records Clerk - Nafasi 1
  • Senior Mechanics (Tractor & Heavy Machinery) - Nafasi 1
  • Tractor Junior Mechanics - Nafasi 2
  • Workshop Helpers - Nafasi 1
  • Welder/Fabricator - Nafasi 5
  • Auto Electrician - Nafasi 3
  • Tyre Fitter - Nafasi 2
  • Motor Store In-Charge / Parts Assistant Clerk - Nafasi 1

Mitambo Mizito (Heavy Equipment)

  • Bulldozer Operator - Nafasi 20
  • Motor Grader Operator - Nafasi 20
  • Excavator Operator - Nafasi 3
  • Front Loader Operator - Nafasi 1
  • Backhoe Operator - Nafasi 1
  • Soil Compactor Operator - Nafasi 1
  • Forklift Operator - Nafasi 1
  • Mobile Hydra Operator - Nafasi 1

Madereva na Waendesha Trekta (Drivers & Tractor Operators)

  • Car Drivers - Nafasi 1
  • Dump Truck Operators - Nafasi 1
  • Light Truck Operator - Nafasi 1
  • Versatile Tractor Operator - Nafasi 1
  • Case Tractor Operator - Nafasi 1
  • Massey Ferguson Operators - Nafasi 1
  • Sonalika Operators - Nafasi 1
  • Mahindra Operators - Nafasi 1
  • Fuel Bowser Operator - Nafasi 1
  • Water Bowser Operator - Nafasi 1

Idara ya Kilimo (Agriculture Department)

  • Agriculture Admin - Nafasi 1
  • Data Clerk Agriculture - Nafasi 1
  • Wheel Loader Operators - Nafasi 1
  • Truck Drivers - Nafasi 5
  • Junior Farm Officers - Nafasi 4
  • Irrigation Engineer - Nafasi 1
  • Bush Clearing / Land Development Supervisor - Nafasi 1
  • Land Surveyor - Nafasi 1
  • Bush Clearing Assistant - Nafasi 1
  • Data Clerk - Bush Clearing / Land Development - Nafasi 1

Idara ya Umwagiliaji (Irrigation Department)

  • Senior Irrigation Engineer - Nafasi 1
  • Pumping Mechanic - Nafasi 1
  • Irrigation Electrician - Nafasi 1
  • Pivot Mechanic - Nafasi 1
  • High-Pressure Welder - Nafasi 1
  • Pipe Fitter - Nafasi 1
  • Plumber - Larger-Diameter Pipe Installation - Nafasi 1

Idara ya Manunuzi (Procurement Department)

  • Assistant Stores Officer - Nafasi 1

Idara ya Hesabu (Accounts Department)

  • Assistant Accountant - Nafasi 1

Idara ya Ujenzi (Civil Department)

  • Civil Engineer - Nafasi 2

Namna ya Kutuma Maombi

Njia ya Kwanza: Kutuma Maombi Mtandaoni
Tuma maombi yako kupitia tovuti ya Careers ya CNS Group: https://careers.cnsgroup.africa/

Njia ya Pili: Kuwasilisha Maombi Ana kwa Ana
Leta CV yako pamoja na vyeti husika CNS Group Limited, Mwanga Tower, Ghorofa ya 13, Dar es Salaam.

Tarehe ya Mwisho ya Kutuma Maombi: 18 Septemba 2026

APPLY NOW

Post a Comment

0 Comments