FURSA: Vodacom Tanzania Yatangaza Nafasi Mpya za Kazi Machi 2026 – Changamkia Hapa!

Je, unatafuta nafasi ya kukuza kipaji chako kwenye kampuni namba moja ya teknolojia na mawasiliano nchini? Vodacom Tanzania (kupitia mfumo wa kimataifa wa Vodafone) imefungua milango kwa wataalamu mbalimbali kujiunga na timu yao.

Nafasi Zinazovuma Sasa:

Vodacom Early Careers Programmes 2026 (Kwa wahitimu wapya wa vyuo vikuu).

M-Pesa Back Office & Projects Coordinator (Dar es Salaam).

Insight & Reporting Specialist (Kanda ya Kati - Iringa).

System Administrator: M-PESA Applications Support.

Legal & Compliance Officers.

Sifa za Jumla:

Shahada ya kwanza katika fani husika (IT, Biashara, Sheria, au Engineering).

Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kidijitali.

Shauku ya kuleta uvumbuzi kupitia teknolojia.

Jinsi ya Kuomba:

Maombi yote yanatumwa kidijitali kupitia tovuti rasmi ya Vodafone Careers. Usipitwe na fursa hii ya kufanya kazi na brand kubwa duniani!

👉 BONYEZA HAPA KUONA MAELEZO NA KUTUMA MAOMBI

Post a Comment

0 Comments