WE ARE HIRING!
Je, wewe ni mtaalamu wa mauzo kwenye sekta ya bidhaa zinazokwenda kwa haraka (FMCG)? Hii ni fursa yako! Tunatafuta viongozi shupavu na wenye kiu ya mafanikio kujaza nafasi nne (4) za FMCG Manager kusimamia kitengo chetu cha Baby Diapers.
Nafasi: FMCG Manager
Idadi ya Nafasi: 4
Kitengo: Baby Diapers (Nepi za Watoto)
Sifa na Vigezo vya Mwombaji:
Uzoefu: Uwe na uzoefu uliothibitishwa katika sekta ya FMCG (Uzoefu wa kufanya kazi na bidhaa za watoto/Baby products ni sifa ya ziada).
Uongozi: Uwezo mkubwa wa kujenga, kusimamia, na kukuza timu za mauzo (Sales Teams).
Utendaji: Uwezo wa kuongeza mauzo na kupanua wigo wa soko la bidhaa (Market Share).
Ujuzi: Uwezo mkubwa wa kimkakati (Strategic Planning), mawasiliano, na uongozi.
Elimu: Shahada ya kwanza (Bachelor’s Degree) katika Business Administration, Marketing, au fani nyingine inayohusiana.
Majukumu ya Kazi kwa Ufupi:
Kuongoza timu ya mauzo kufikia malengo ya kampuni.
Kubuni mbinu mpya za ushindani sokoni.
Kusimamia usambazaji na upatikanaji wa bidhaa kwa wateja.
Jinsi ya Kuomba (How to Apply):
Kama una sifa zilizotajwa na uko tayari kuleta mapinduzi kwenye kitengo chetu, tafadhali tuma CV yako kwa njia ya barua pepe (Email) kwenda:
📅 Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 12 Machi, 2026.
Kaa karibu na Upstena Jura Hub kupata taarifa za uhakika za ajira kila siku.
0 Comments