Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili - TRC, TGFA, WHI, MDAs & LGAs (Kada ya Dereva)
Kumb. Na.: JA.9/16/01/54
Tarehe: 31/08/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Watumishi Housing Investments (WHI), pamoja na MDAs na LGAs, anawataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 04/09/2026 hadi 06/10/2026, hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili huo.
Maelekezo kwa Wasailiwa
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili; muda na sehemu ya usaili umeainishwa kwa kila kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
- Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji anachotoka.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea, kutegemeana na sifa za nafasi husika.
- Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, au Statement of Results (hati za matokeo za kidato cha IV na VI - "form IV and form VI results slips") hawatakubaliwa na hawataruhusiwa kuendelea na usaili.
- Kwa kada ambazo zinatakiwa kusajiliwa na Bodi za Kitaaluma, wasailiwa wanapaswa kuja na vyeti vyao halisi vya usajili pamoja na leseni za kufanyia kazi.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi. Aidha, kila msailiwa anapaswa kuhudhuria usaili akiwa na mavazi nadhifu na yenye staha kulingana na Waraka wa mavazi.
- Wasailiwa waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA). Wasailiwa wa kada zinazohitaji GPA waliosoma nje ya Tanzania wawasilishe cheti cha ukokotozi wa GPA kutoka TCU.
- Wasailiwa ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za Ajira Portal na kuona sababu za kutokuitwa kwao.
- Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya usaili. Wanapaswa kukumbuka barua pepe (email) na nywila (password) zao za Ajira Portal.
- Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.
- Waombaji wote wa kazi wanakumbushwa kuwa ni marufuku kutoa au kupokea rushwa kwa lengo la kupata ajira au kupangiwa kituo cha kazi.
Ratiba ya Usaili wa Vitendo
| Mwajiri | Kada | Tarehe ya Usaili | Mahali |
| Watumishi Housing Investments (WHI) | Driver II | 04/09/2026, Saa 5:00 Asubuhi | VETA Buza, Dar es Salaam |
| Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) | Drivers II | 04/09/2026, Saa 5:00 Asubuhi | VETA Kihonda, Morogoro |
| Shirika la Reli Tanzania (TRC) | Driver II | 10/09/2026, Saa 5:00 Asubuhi | VETA Buza, Dar es Salaam |
| MDAs & LGAs | Dereva Daraja la II | 15/09/2026, Saa 5:00 Asubuhi | VETA Kihonda, Morogoro |
Ratiba ya Usaili wa Mahojiano
| Mwajiri | Kada | Tarehe ya Usaili | Mahali |
| Watumishi Housing Investments (WHI) | Driver II | 12/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | Ofisi za Sekretarieti ya Ajira (PSRS) - Dar es Salaam |
| Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) | Drivers II | 14/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | Ofisi za Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) - Dar es Salaam |
| Shirika la Reli Tanzania (TRC) | Driver II | 21/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | Ofisi za Shirika la Reli Tanzania (TRC) - Makao Makuu, Dar es Salaam |
| MDAs & LGAs | Dereva Daraja la II | 06/10/2026, Saa 1:00 Asubuhi | Ofisi za Sekretarieti ya Ajira (PSRS) Dodoma - Eneo la Tambukareli, Mtaa wa Mahaka |
Ratiba ya Usaili wa Alama za Barabarani
| Mwajiri | Kada | Tarehe ya Usaili | Mahali |
| Watumishi Housing Investments (WHI) | Driver II | 04/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | VETA Buza, Dar es Salaam |
| Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) | Drivers II | 04/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | VETA Kihonda, Morogoro |
| Shirika la Reli Tanzania (TRC) | Driver II | 10/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | VETA Buza, Dar es Salaam |
| MDAs & LGAs | Dereva Daraja la II | 15/09/2026, Saa 1:00 Asubuhi | VETA Kihonda, Morogoro |
Majina ya Waliositwa - WHI (Driver II)
| Na. | Jina la Mwombaji | Anuani |
| 1 | Salvatory Alexander Mosha | P.O Box 1080, Morogoro |
Majina ya Waliositwa - MDAs & LGAs (Dereva Daraja la II)
| Na. | Jina la Mwombaji | Anuani |
| 1 | Salvatory Alexander Mosha | P.O Box 1080, Morogoro |
| 2 | Vincent Elias Buzza | P.O Box 19957, Dar es Salaam |
| 3 | Idd Saidi Ally | P.O Box 1249, Dodoma |
| 4 | Joseph Aron Mapunda | P.O Box 35091, Ubungo, Dar es Salaam |
| 5 | Proneth Prosper Tairo | P.O Box 0, Dar es Salaam |
| 6 | Gideon Ezekiel Madeni | P.O Box 6562, Mwanza |
| 7 | Jamali Adamu Yusuph | Dar es Salaam |
| 8 | Dickson Frank Muganga | P.O Box 13261, Dar es Salaam |
| 9 | Bahati Yoram Tulikumwe | P.O Box 1249, Dodoma |
| 10 | Ibrahim Athumani Ibrahim | P.O Box 4008, Dodoma |
| 11 | Erick Anania Ambakisye | P.O Box 66727, Dar es Salaam |
| 12 | Hatiba Said Bori | P.O Box 59, Pwani |
| 13 | James Ally Idd | P.O Box 4151, Dodoma |
| 14 | Akilei Simon Mackijaji | P.O Box 1249, Dodoma |
| 15 | Mathayo Mangara Abdalah | P.O Box 1190, Musoma, Mara |
| 16 | Paul Samwel Sese | P.O Box 1249, Dodoma |
| 17 | Benson Samson Wellya | P.O Box 55068, Ubungo, Dar es Salaam |
| 18 | John Lucas Kitiba | P.O Box 11364, Dodoma |
| 19 | James Mashimba James | P.O Box 1333, Mwanza |
| 20 | Charles Mashuda Maziku | P.O Box 2363, Dodoma |
| 21 | Emily Damian Assenga | P.O Box 320, Kilimanjaro |
| 22 | Peter Aloyce Liunguluma | P.O Box 20950, Dar es Salaam |
Majina ya Waliositwa - TGFA (Drivers II)
| Na. | Jina la Mwombaji | Anuani |
| 1 | Hatiba Said Bori | P.O Box 59, Pwani |
| 2 | Jamali Adamu Yusuph | Dar es Salaam |
| 3 | Idd Saidi Ally | P.O Box 1249, Dodoma |
| 4 | Deodathus Dismas Simwela | P.O Box 187, Rukwa |
| 5 | Charles John Mayaya | P.O Box 0, Dodoma |
| 6 | Nurudini Mbelwa Chamoto | P.O Box 1000, Dar es Salaam |
Majina ya Waliositwa - TRC (Driver II)
| Na. | Jina la Mwombaji | Anuani |
| 1 | Ismail Ambeni Tunguu | P.O Box 2801, Dodoma |
| 2 | Dickson Charles Haroune | P.O Box 97, Kasulu, Kigoma |
| 3 | Hatiba Said Bori | P.O Box 59, Pwani |
| 4 | Jamali Adamu Yusuph | Dar es Salaam |
| 5 | Deodathus Dismas Simwela | P.O Box 187, Rukwa |
| 6 | Charles John Mayaya | P.O Box 0, Dodoma |
Limetolewa na: Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Pakua PDF Hapa
0 Comments