Tangazo la Kuitwa Kazini - Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)
Kumb. Na.: BC.1/270/01/13
Tarehe: 31 Agosti 2026
Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kupitia Makamu Mkuu wa Chuo kimetoa tangazo la kuwataarifu waombaji kazi walioomba nafasi mbalimbali za ajira na kushiriki katika usaili uliofanyika tarehe 20 na 21 Julai 2026 kuhusu matokeo ya usaili huo.
Masharti kwa Waliofaulu
- Waombaji waliofaulu wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri baada ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya kutolewa kwa Tangazo la Kuitwa Kazini.
- Wanatakiwa kufika wakiwa na vyeti vyao halisi vya taaluma (Original Certificates), kuanzia Cheti cha Kidato cha Nne na kuendelea, ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kukabidhiwa barua za ajira.
- Waombaji ambao majina yao hayajaorodheshwa katika tangazo hili wanatakiwa kutambua kwamba hawakufaulu usaili au hawakupata nafasi katika ajira zilizotangazwa. Wanahimizwa kuendelea kufuatilia na kuomba nafasi nyingine za kazi zitakapotangazwa na Chuo.
Majina ya Walioitwa Kazini
1. NDAKI ya Kilimo
| Kada | Jina |
| Research Fellow Trainee (Agricultural Extension) | Doris Richard Shayo |
| Research Fellow Trainee (Aquaculture) | Faraja Sauly Kakulwa |
2. NDAKI ya Misitu, Wanyapori na Utalii
| Kada | Jina |
| Research Fellow Trainee (Forest Engineering) | Steward Nico Sanga |
3. NDAKI ya Uchumi na Stadi za Biashara
| Kada | Jina |
| Tutorial Assistant (Banking) | Pauline Mjuli Ayubu |
| Charles Mungala Kusekwa |
| Tutorial Assistant (Trade) | Joan George Seney |
4. NDAKI ya Sayansi za Jamii na Insia
| Kada | Jina |
| Tutorial Assistant (Community Development) | Eric Raphael Mlimba |
| Kalai Simel Spirah |
| Tutorial Assistant (Literature) | Expelius Kaiza Justinian |
| George Robart Lusolo |
5. Shule Kuu ya Elimu
| Kada | Jina |
| Assistant Lecturer (Curriculum and Instruction) | Ilakoze Daniel Nyugwa |
| Hellena Dorcus Jacobo |
Limetolewa na: Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
Pakua PDF Hapa
Tangazo la Kuitwa Katika Nafasi za Kujitolea - Wakala wa Vipimo (WMA)
Kumb. Na.: BA.23/285/01A/51
Tarehe: 31 Agosti 2026
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wizara ya Viwanda na Biashara, kupitia Wakala wa Vipimo (WMA), Afisa Mtendaji Mkuu anawataarifu waombaji wa nafasi za kujitolea walioshiriki usaili tarehe 07-08-2026 kuhusu matokeo ya waliofaulu usaili huo, kama yalivyoorodheshwa hapa chini.
Masharti Muhimu
- Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika ofisi za Wakala wa Vipimo, Makao Makuu - Dodoma, tarehe 25 Septemba 2026.
- Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
- Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Kitambulisho cha Uraia, Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga Kura au Leseni ya Udereva.
Majina ya Walioitwa Kujitolea
Afisa Vipimo Daraja la II
| Na. | Jina |
| 1 | Janice Reventine Bwoma |
| 2 | Vicent Castory Mwigani |
| 3 | Prisca Anold Silaa |
| 4 | Majaliwa Mathias Kasanzo |
| 5 | Phidea A. Mapunda |
| 6 | Odilia S. Gwanchele |
| 7 | Neema Annaely Urio |
| 8 | Asna Hussein Kuluse |
Afisa Vipimo Msaidizi
| Na. | Jina |
| 1 | Mohammed Mrisho |
| 2 | Zuhura Athumani Chitanda |
| 3 | Haruna Amry Fumbo |
| 4 | Joseph Saramba |
| 5 | Halima Ramadhani Athuman |
| 6 | Samwel Simon Pesambili |
| 7 | Allen C. Shemkai |
| 8 | Triphone William Mlingi |
| 9 | Debora Fanuel Mbwilo |
| 10 | Edward Michael Mhina |
| 11 | Shija Isack Meshack |
| 12 | Lisbeth Emmanuel Mwanjali |
| 13 | Kelvin Michael Kuzenza |
Afisa Sheria II
| Na. | Jina |
| 1 | Suzana Elias Mafwere |
Msaidizi wa Kumbukumbu II
| Na. | Jina |
| 1 | Grace John Tiamaru |
Limetolewa na: Afisa Mtendaji Mkuu, Wakala wa Vipimo
Pakua PDF Hapa
0 Comments