TANGAZO LA KUITWA KAZINI 28 AGOSTI 2026: Majina ya Walioitwa Kazini na Vituo vya Kazi

TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAREHE 28 AGOSTI, 2026

Maelezo ya Tangazo

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27 Septemba 2025 na tarehe 18 Agosti 2026 kuwa matokeo ya waombaji waliofaulu usaili huo yameorodheshwa katika tangazo hili. Orodha hiyo pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Nafasi za Kazi na Majina ya Walioitwa Kazini

  • Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)
    • Afisa Habari Daraja la II (Information Officer Grade II): Praisegod Salvatory Mgumba.
  • Shirika la Masoko ya Kariakoo (KMC)
    • Technician II - Electrical Engineering: Judicate Justine Kweka.
  • Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
    • Information Officer II: Wendo Daudi Sospeter.
  • Wizara ya Afya
    • Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant Nursing Officer II):
      • Adventina Lazaro Gasper
      • Amina Habibu Mumba
      • Anna Gwaidishi Malja
      • Clemencia Jubeth Ninde
      • Daudi Mabela Milimo
      • Doris Innocent Sanjweke
      • Edson Haidan Yusuph
      • Elisha Chrisant Kauzeni
      • Elisi Laurent Kabusi
      • Emmanuel Julius Hatari
      • Ester Zephania Charles
      • Fadhili Jumane Athumani
      • Gladness Venance Bahati
      • Hamis Yohana Laurent
      • Heppness Kihanda Kanagana
      • Herieth Faustin Mtono
      • Isaka Julias Njelekela
      • Ismail Said Chacharika
      • Jacobo Onjection Byobangamba
      • James Meneradi Michael
      • John Leonard Kanyerere
      • Juma Chacha Mongoso
      • Jumanne Dotto Michael
      • Kadiva Abrahamu Mmbaga
      • Kelvin Sagwa Marwa
      • Lucy Nh'Onge Magonzi
      • Magafu Girishon Mjarifu
      • Magdalena Christopher Mushi
      • Magdalena Ezekiel Mushi
      • Magreth Abel Mbilinyi
      • Marwa Paul Giyabe
      • Nestory James Clement
      • Nuru Juma Nyalindi
      • Pendo Sibabа Kisija
      • Petro John Mwami
      • Prisca Kashinje Katobesi
      • Sauda Kondo Mnemvu
      • Shamimu Kiure Karunde
      • Victoria Gilbert Mavunde
      • Yuditha Joseph Kilangasi
    • Daktari Daraja II (Medical Officer II):
      • Aniita Subira Tito Semfilinge
      • Bahati Frank Adams
      • Brighton Victor Kinyunyu
      • Caroline Francis Mollel
      • Daniel Jeremiah Wambura
      • Edson Potentinus Kaijage
      • Edson Yeremia Mbilinyi
      • Edward Thomas Masese
      • Glory Herman Mcha
      • Grayson Charles Mathew
      • Inocent Raphael Emanuel
      • Julius Pamphil Marandu
      • Kelvin Ernest Kimolo
      • Luciana Sebastian Luvanga
      • Luis Emmanuel Malole
      • Mbata Elias Mbata
      • Merryline Prosper Munishi
      • Nestory Dominick Mutasingwa
      • Nicolaus Francis Ngiliule
      • Regina Marsel Uisso
      • Sabrina Ramadhani Dongwala
      • Violet Wilbard Zeramula
      • Zubeda Tibilyus Mlowe

Masharti na Taarifa Muhimu

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi watapata barua zao za kupangiwa vituo vya kazi kupitia akaunti zao za Ajira Portal katika sehemu ya My Applications. Wanatakiwa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) za barua hizo na kwenda nazo wakati wa kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa mwajiri ndani ya muda ulioainishwa kwenye barua zao za kupangiwa kituo cha kazi. Wanapaswa kwenda na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea kwa ajili ya kuhakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, wanatakiwa kutambua kuwa hawakupata nafasi au hawakufaulu usaili. Wanashauriwa kuendelea kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Tarehe ya Tangazo

Tangazo limetolewa tarehe 28 Agosti 2026 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.

Pakua PDF Hapa

Post a Comment

0 Comments