Nafasi 789 za Kazi Serikalini Tanzania (Ajira Portal) - Orodha Kamili ya Vacancies na Tarehe za Mwisho 2026
Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), kupitia Mfumo wa Ajira Portal, imetangaza nafasi za kazi mbalimbali kutoka Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali (MDAs), Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs), pamoja na Taasisi na Mashirika ya Umma. Jumla ya matangazo 54 yamechapishwa, yakiwa na jumla ya nafasi 789 za kazi.
Orodha ya Nafasi za Kazi
| S/N | Jina la Nafasi | Mwajiri | Idadi ya Nafasi | Tarehe ya Mwisho |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya Mji Bariadi | 2 | 16/09/2026 |
| 2 | Mwalimu Daraja la III C - Somo la Fasihi ya Kiingereza (English Literature Subject) | MDAs & LGAs | 13 | 17/09/2026 |
| 3 | Chief Executive Officer | Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) | 1 | 16/09/2026 |
| 4 | Daktari Daraja la II (Medical Officer Grade II) | MDAs & LGAs | 115 | 17/09/2026 |
| 5 | Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II (Assistant Nursing Officer Grade II) | MDAs & LGAs | 128 | 17/09/2026 |
| 6 | Afisa Mifugo Daraja la II (Livestock Officer Grade II) | MDAs & LGAs | 39 | 17/09/2026 |
| 7 | Tabibu wa Kinywa na Meno Daraja la II (Dental Therapist Grade II) | MDAs & LGAs | 17 | 17/09/2026 |
| 8 | Mteknolojia Maabara Daraja la II (Health Laboratory Technologist Grade II) | MDAs & LGAs | 25 | 17/09/2026 |
| 9 | Mwalimu Daraja la III C - Somo la Fizikia (Physics Subject) | MDAs & LGAs | 55 | 17/09/2026 |
| 10 | Mwalimu Daraja la III C - Somo la Hisabati (Mathematics Subject) | MDAs & LGAs | 67 | 17/09/2026 |
| 11 | Mwalimu Daraja la III B - Somo la Fizikia (Physics Subject) | MDAs & LGAs | 43 | 17/09/2026 |
| 12 | Mwalimu Daraja la III B - Somo la Hisabati (Mathematics Subject) | MDAs & LGAs | 48 | 17/09/2026 |
| 13 | Afisa Misitu Msaidizi Daraja la II (Assistant Forest Officer Grade II) | MDAs & LGAs | 28 | 17/09/2026 |
| 14 | Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja la II (Assistant Environmental Health Officer Grade II) | MDAs & LGAs | 26 | 17/09/2026 |
| 15 | Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | MDAs & LGAs | 74 | 17/09/2026 |
| 16 | ICT Officer II (Artificial Intelligence Applications) | Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) | 2 | 14/09/2026 |
| 17 | ICT Officer II (Software Development – Frontend) | Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) | 3 | 14/09/2026 |
| 18 | ICT Officer II (Software Development – Backend) | Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) | 4 | 14/09/2026 |
| 19 | ICT Officer II - (Systems Analyst) | Mamlaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) | 1 | 14/09/2026 |
| 20 | Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | 5 | 13/09/2026 |
| 21 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya | 9 | 13/09/2026 |
| 22 | Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Songwe | 1 | 13/09/2026 |
| 23 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya Wilaya ya Songwe | 4 | 13/09/2026 |
| 24 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya wilaya ya Urambo | 3 | 10/09/2026 |
| 25 | Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa | 5 | 11/09/2026 |
| 26 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa | 3 | 11/09/2026 |
| 27 | Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) | Halmashauri ya wilaya ya Urambo | 1 | 10/09/2026 |
| 28 | Dereva Daraja II (Driver II) | Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto | 2 | 10/09/2026 |
| 29 | Locomotive Driver II | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 10 | 10/09/2026 |
| 30 | Engineer II (Signal & Telecommunication) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 1 | 10/09/2026 |
| 31 | Technician II (Hydraulic Machineries) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 2 | 10/09/2026 |
| 32 | Technician II (Automobile) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 4 | 10/09/2026 |
| 33 | Artisan II (Auto Electric) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 5 | 10/09/2026 |
| 34 | Instructor II (Mechanical Engineer) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 1 | 10/09/2026 |
| 35 | Instructor II (Civil Engineer) | Shirika la Reli Tanzania (TRC) | 1 | 10/09/2026 |
| 36 | Tutorial Assistant - Counselling and Psychology | Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) | 1 | 09/09/2026 |
| 37 | Assistant Printer II - Printing and Binding | Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) | 5 | 09/09/2026 |
| 38 | Livestock Attendants | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 14 | 09/09/2026 |
| 39 | Research Officer II – Range Management | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 2 | 09/09/2026 |
| 40 | Research Assistant - Statistician | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 1 | 09/09/2026 |
| 41 | Tutor II – Agricultural Extension | Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) | 1 | 09/09/2026 |
| 42 | Tutor II – (Animal Science) | Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) | 1 | 09/09/2026 |
| 43 | Assistant Lecturer – Biomedical Engineering | Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) | 1 | 09/09/2026 |
| 44 | Assistant Lecturer – Mining Engineering | Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) | 1 | 09/09/2026 |
| 45 | Assistant Printer II - Graphic Designing | Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) | 2 | 09/09/2026 |
| 46 | Tutorial Assistant - Linguistic | Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) | 1 | 09/09/2026 |
| 47 | Tutorial Assistant - Kiswahili | Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) | 1 | 09/09/2026 |
| 48 | Research Officer II – Rural Development | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 1 | 09/09/2026 |
| 49 | Research Officer II – Veterinary Medicine | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 1 | 09/09/2026 |
| 50 | Research Officer II – Animal Science | Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) | 2 | 09/09/2026 |
| 51 | Tutorial Assistant - Adult Education | Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) | 3 | 09/09/2026 |
| 52 | Assistant Lecturer (Business Administration) | Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) | 1 | 09/09/2026 |
| 53 | Assistant Lecturer (Tourism) | Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) | 1 | 09/09/2026 |
| 54 | Assistant Lecturer (Political Science and Public Administration) | Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) | 1 | 09/09/2026 |
| JUMLA (Total) | 789 | |||
Masharti na Taarifa Muhimu
- Waombaji watatuma maombi yao kupitia Mfumo wa Ajira Portal (portal.ajira.go.tz).
- Kila nafasi ina tarehe yake ya mwisho ya kutuma maombi, hivyo waombaji washauriwe kuangalia tarehe husika kwa kila nafasi kabla ya kuomba.
Tarehe za Mwisho za Maombi
Tarehe za mwisho zinatofautiana kulingana na nafasi husika, kuanzia 09/09/2026 hadi 17/09/2026, kama ilivyoainishwa kwenye jedwali hapo juu.


0 Comments