TANGAZO LA KUITWA KAZINI - Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Kumb. Na: JA. 9/18/01"E"/62
Tarehe: 22/09/2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 18-04-2026 na tarehe 23-04-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Taasisi Husika
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)
Kada na Majina ya Walioitwa Kazini
1. Conservation Ranger III – Beekeeping Officer
- Elifas Wilifred Honkonya
- Emmanuel Fabian Singaile
- Martha Lazaro Peter
- Matokeo John Gobanya
- Neema Zacharia Luumi
- Paulo Atubone Mwakalukwa
2. Conservation Ranger III – Records Management Assistant
- Abdallah Abdul Muhaha
- Cesilia Daniel Kalay
- Marko Maitira Mgesi
- Steven Sylivester Sostenes
- Swafah Mussa Paulo
3. Conservation Ranger III – Tourism Officer
- Baraka Mrema Sanga
- Carnysiya Theodul Macha
- Elizabeth Sylivester Morice
- Noel Theoflo Adolf
- Sila David Malekela
- Vivian Joachim Makundi
Masharti na Taarifa Muhimu
Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Imetolewa na: Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

0 Comments