NAFASI 113 ZA AJIRA KWA WATAALAMU MBALI WA AFYA NOVA PLUS HOSPITAL

Nafasi za Kazi - NovaPlus Company Limited (Nova Hospital)

Tarehe ya Tangazo: Septemba 15, 2026

Bodi ya Wakurugenzi wa Hospitali ya Nova, yenye makao yake makuu katika Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye taaluma, sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi katika fani zifuatazo.

1.0 Nafasi Zinazohitajika - Nova Hospital

  • Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na Afya ya Uzazi (Obstetrics and Gynecology) - Nafasi 1
  • Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto (Paediatrician) - Nafasi 1
  • Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani (Physician - Internal Medicine) - Nafasi 1
  • Daktari II (Medical Officer II) - Nafasi 8
  • Daktari wa Meno II (Dental Officer II) - Nafasi 2
  • Daktari Msaidizi wa Meno (Assistant Dental Officer) - Nafasi 2
  • Mteknolojia Dawa (Pharmacy Technologist) - Nafasi 3
  • Mteknolojia Dawa Msaidizi (Assistant Pharmacy Technologist) - Nafasi 5
  • Afisa Muuguzi (Nursing Officer) - Nafasi 3
  • Afisa Muuguzi Msaidizi (Assistant Nursing Officer) - Nafasi 20
  • Mteknolojia Tiba ya Viungo (Physiotherapy Technologist) - Nafasi 2
  • Afisa Maabara (Laboratory Scientist) - Nafasi 1
  • Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician) - Nafasi 3
  • Mteknolojia Maabara Msaidizi (Assistant Laboratory Technician) - Nafasi 5
  • Mteknolojia Radiolojia (Radiographer) - Nafasi 2
  • Katibu Mahususi (Personal Secretary) - Nafasi 2
  • Mhudumu wa Afya (Medical Attendants) - Nafasi 30
  • Mhudumu wa Chumba cha Kuhifadhia Maiti (Mortuary Attendant) - Nafasi 2
  • Mtaalamu wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthetist) - Nafasi 2
  • Mhasibu (Accountant) - Nafasi 2
  • Afisa Masoko na Biashara (Business and Marketing Officer) - Nafasi 1
  • Mtaalamu wa Tehama (IT / ICT) - Nafasi 1
  • Afisa Rasilimali Watu (Human Resource Officer) - Nafasi 1
  • Afisa Ugavi na Manunuzi (Procurement and Supplies Officer) - Nafasi 1
  • Dereva (Driver) - Nafasi 2
  • Keshia (Cashier) - Nafasi 3
  • Mhudumu wa Mapokezi (Receptionist) - Nafasi 6
  • Afisa Kumbukumbu za Afya (Health Records and Information Officer) - Nafasi 1

Masharti na Taarifa Muhimu

Waombaji wanapaswa kuwa Watanzania wenye taaluma, sifa na uwezo unaolingana na nafasi husika. Maelezo zaidi kuhusu sifa za kila nafasi, masharti ya maombi, na jinsi ya kuwasilisha maombi yanapatikana kwenye tangazo kamili.

Kwa maelezo kamili ya sifa za kila nafasi, mahitaji, na masharti ya maombi, tafadhali angalia tangazo asili la NovaPlus Company Limited.

Apply here: recruitment.novaplushospital@gmail.com

Mawasiliano ya Taasisi

NovaPlus Company Limited
Block G Plot No. 273, Nyahanga Street
P.O. Box 424, Kahama - Tanzania

Tarehe ya Mwisho ya Maombi: Haikutajwa kwenye tangazo. Tafadhali angalia tangazo asili kwa taarifa hii.

Post a Comment

0 Comments