Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ni taasisi ya elimu ya juu iliyoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 31 ya 1965, chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za kujitolea zilizotangazwa tarehe 09 Februari, 2026 kuwa usaili utafanyika tarehe 16 Septemba, 2026 saa 1:30 asubuhi katika Kampasi Kuu ya Dar es Salaam.
Ratiba ya Usaili
Mwajiri
Kada
Tarehe ya Usaili wa Kuandika
Tarehe ya Usaili wa Mahojiano
Mahali
Chuo Cha Elimu Ya Biashara
Library Assistant II
16 Sept, 2026
17 Sept, 2026
Kampasi Kuu ya Dar es Salaam
Chuo Cha Elimu Ya Biashara
Librarian II
16 Sept, 2026
17 Sept, 2026
Kampasi Kuu ya Dar es Salaam
Chuo Cha Elimu Ya Biashara
Afisa Miliki (Estate Officer) - Architecture
HAKUNA
17 Sept, 2026
Kampasi Kuu ya Dar es Salaam
Chuo Cha Elimu Ya Biashara
Afisa Miliki (Estate Officer) - Civil
HAKUNA
17 Sept, 2026
Kampasi Kuu ya Dar es Salaam
Masharti na Maelekezo kwa Wasailiwa
Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa.
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga Kura, Kitambulisho cha Kazi, Kitambulisho cha Uraia, Hati ya Kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji/Shehia anakotoka msailiwa.
Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, na Cheti cha Taaluma.
Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, au hati za matokeo za kidato cha IV na VI (Form V and Form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania, wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA).
Waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Wasisite kuomba tena pindi nafasi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji ya tangazo husika.
MUHIMU: Wasailiwa watakaoshindwa kuwasilisha nyaraka zilizokamilika kama zilivyoainishwa katika vipengele Na. 2, 3, 4 na 8 hawataruhusiwa kuendelea na usaili.
Orodha ya Waliotwa - Msaidizi wa Maktaba Daraja la II
S/N
Jina la Mwombaji
Anuani
1
Janeth Clemence Malumba
P.O Box 9090, Morogoro
2
Suzana Dismas Mwana Katwe
P.O Box 3810, Mbeya
3
Gladness Nasibu Mwasanguti
P.O Box 5429, Dar Es Salaam
4
Lucy David Mbwambo
P.O Box 35091, Dar-Es-Salaam
5
Aloycea Daud Assey
P.O Box 55068, Dar-Es-Salaam
6
Elias Bulugu Paul
P.O Box 60054, Dar-Es-Salaam
7
Benjamin Bablas Maugo
P.O Box 385, Usa-River, Arusha
8
Joshua Petro Maige
P.O Box 2247, Dar-Es-Salaam
9
Margaret Pendo Bureta
P.O Box 9524, Dar-Es-Salaam
10
Naima Amir Ndimbo
-
11
Kasole Antony Mayala
P.O Box 36023, Dar-Es-Salaam
12
Nuru Mohamed Mahundumla
P.O Box, Dar-Es-Salaam
13
Theckla Aloyce Masamu
P.O Box 1694, Dar-Es-Salaam
14
Kilimya Karumbete Webiro
P.O Box 227, Dar-Es-Salaam
15
Grace Martin Charles
P.O Box 55068, Dar-Es-Salaam
16
Anna Victor Casmil
P.O Box 20950, Dar-Es-Salaam
17
Thomas Lubaga Simon
P.O Box 2824, Dar-Es-Salaam
18
Othuman Haji Juma
P.O Box 80, Lushoto
19
Maulid Salum Selema
P.O Box 1968, Dar-Es-Salaam
20
Twalib Khalfan Idd
P.O Box 1968, Dar-Es-Salaam
21
Shade Mohamedi Mtepa
P.O Box 20679, Dar-Es-Salaam
22
Hilda Patrick Mwaimu
P.O Box 551, Tanga
23
Veronica Tiophili Slaqwara
P.O Box 04, Morogoro
24
Ally Salum Pazi
P.O Box 6058, Dar-Es-Salaam
25
Melensiana Martin Kato
P.O Box 9193, Dar-Es-Salaam
26
Asha Salumu Masera
P.O Box, Dar-Es-Salaam
27
Ayoub Eliamini Ulomi
P.O Box 146, Hai, Kilimanjaro
28
Glory Heriel Ndosi
P.O Box 46343, Dar-Es-Salaam
29
Rosemary William Mkuwe
P.O Box 1, Morogoro
30
Ester Wilfred Solomon
P.O Box 9522, Dar-Es-Salaam
Orodha ya Waliotwa - Afisa Miliki (Estate Officer) Architecture
S/N
Jina la Mwombaji
Anuani
1
Neema Raymond Tesha
P.O Box 35684, Dar Es Salaam
2
Rhoda Lazaro Mwakimbwala
P.O Box 601557, Dar Es Salaam
3
Paschal Marco Oscar
P.O Box 17107, Dar Es Salaam
Orodha ya Waliotwa - Afisa Miliki (Estate Officer) Civil
Welcome to Upsten Ajira Hub – your trusted platform for the latest job opportunities, internships, and scholarships in Tanzania and beyond. Our mission is to connect job seekers with reliable and up-to-date opportunities while making the job search process simple and accessible.
0 Comments