NAFASI MPYA ZA KAZI CRDB BANK PLC – FEBRUARI 2026

Benki ya CRDB, benki kiongozi nchini Tanzania, imetangaza nafasi mpya za kazi kwa wataalamu wenye sifa katika vitengo mbalimbali. Hii ni fursa kwa wale wanaotaka kukuza vipaji vyao katika mazingira ya kibenki yenye ubunifu na ushindani.

Orodha ya Nafasi za Kazi na Sifa:

Hapa chini ni baadhi ya nafasi zilizotangazwa hivi karibuni:

1. Zonal Relationship Manager – Tourism Desk

Kituo cha Kazi: Northern Zone

Mwisho wa Maombi: 24 Februari, 2026

2. Internal Valuer

Kituo cha Kazi: Tanzania Head Office

Mwisho wa Maombi: 25 Februari, 2026

3. Specialist Core Network

Kituo cha Kazi: Tanzania Head Office

Mwisho wa Maombi: 25 Februari, 2026

4. Manager – Research & Development (R&D) & Innovation Programs

Kituo cha Kazi: Tanzania Head Office

Mwisho wa Maombi: 26 Februari, 2026

5. Board Member Vacancies (Nafasi 5)

Hizi ni nafasi za uwakilishi wa wanahisa katika bodi.

Mwisho wa Maombi: 28 Februari, 2026

Sifa za Jumla:

Shahada ya kwanza au ya uzamili katika fani husika (Biashara, Tehama, Uchumi, au Usimamizi).

Uzoefu wa kazi kulingana na nafasi unayoomba.

Uwezo mzuri wa mawasiliano na utendaji wa kazi kwa ufanisi.

Jinsi ya Kufikia Nafasi Hizi (Mwongozo):

Mfumo wa ajira wa CRDB unaweza kuonyesha nafasi tofauti kulingana na vifaa unavyotumia. Ili kuona nafasi zote:

Fungua Link: Bonyeza link rasmi hapa chini.

Tumia Sehemu ya 'Preview': Kwenye kila nafasi, bofya neno "Preview" ili kusoma maelezo ya kina (Job Description) kabla ya kuomba.

Shuka Chini (Scroll): Ikiwa huoni kazi unayotafuta mara moja, shuka chini kabisa (scroll down) kwenye ukurasa wa "Jobs" ili kuona kurasa nyingine (Next Page) au orodha iliyojificha chini.

👉 TUMA MAOMBI HAPA SASA




Post a Comment

0 Comments