Job Vacancies: Sales Specialists, Business Supervisor & Technical Service Leader – CD HORIZON (Dar es Salaam)

📢 JOB ADVERTISEMENT: CD HORIZON

Kampuni ya CD HORIZON iliyopo Dar es Salaam, inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa wagombea wenye sifa na uzoefu wa kutosha kujaza nafasi zifuatazo:

1️⃣ Sales Specialists (Nafasi 2)

Sifa za Mwombaji:

Shahada au Stashahada ya Sales, Marketing, au Business.

Uzoefu wa kuanzia miaka 3 kwenye mauzo.

Lazima uwe na uzoefu kwenye sekta ya Madini (Mining), Ujenzi (Construction), au kampuni za Logistics zinazohusika na mitambo mizito.

Uzoefu wa kufanya kazi na brand kama Zoomlion, XCMG, SDLG, SANY au zinazofanana nazo ni kigezo muhimu.

2️⃣ Business Supervisor (Nafasi 1)

Sifa za Mwombaji:

Shahada au Stashahada ya Business Administration au fani inayohusiana.

Uzoefu wa kuanzia miaka 3 kwenye usimamizi wa biashara.

Uwezo mkubwa wa uongozi (Leadership) na usimamizi wa mipango ya ukuaji wa kampuni.

3️⃣ Technical Service Leader (Nafasi 1)

Sifa za Mwombaji:

Ujuzi wa hali ya juu wa ukarabati wa mitambo mizito (Excavators, Cranes, n.k).

Lazima uwe umewahi kuwa Maintenance Leader/Supervisor na uwe na Cheti cha VETA.

Uzoefu usiopungua miaka 7 kwenye matengenezo ya mitambo mizito (Heavy Equipment).

Jinsi ya Kuomba (How to Apply):

Kama unakidhi vigezo, tafadhali tuma CV yako na uandike wazi nafasi unayoomba kupitia njia ya WhatsApp pekee kwenda namba:

👉 0765 168 165

⚠️ MUHIMU: Hairuhusiwi kupiga simu (NO PHONE CALLS ALLOWED). Watakaofuzu hatua ya awali ndio watakaotafutwa.

📅 Mwisho wa kutuma maombi: Tarehe 8 Machi, 2026.

Post a Comment

0 Comments