Tangazo la Kuitwa Kazini Na. 53 - Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (Ofisi ya Rais) ametoa tangazo la
kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-09-2025
na tarehe 21-08-2026 kuhusu matokeo ya usaili huo. Orodha ya majina iliyoorodheshwa hapa chini
inajumuisha pia baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali
ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Kumb. Na. JA. 9/18/01"E"/53
Tarehe ya Tangazo: 02/09/2026
Maelezo ya Taasisi
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma ni taasisi iliyo chini ya Ofisi ya Rais,
yenye jukumu la kusimamia mchakato wa ajira katika Utumishi wa Umma nchini Tanzania,
ikiwemo kutangaza nafasi za kazi, kuratibu usaili na kutoa matokeo ya waliofaulu.
Maelekezo Muhimu kwa Walioitwa Kazini
- Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi watapata BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal, kwenye sehemu ya My Applications.
- Waombaji wanatakiwa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) za barua hizo na kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.
- Waombaji waliofaulu wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ulioainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi, wakiwa na Vyeti Halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea, ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
- Wale ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba tena nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Orodha ya Waliopangiwa Vituo vya Kazi kwa Taasisi
1. Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori (CAWM)
| Kada | Kituo | Majina |
| Health Assistant II | CAWM | Hosiana Karani Elias |
| Park Ranger II | CAWM | Jafari Hassani Thelathini |
| Tutorial Assistant (Environmental and Waste Management) | CAWM | Mary Emmanuel Kamilly |
| Tutorial Assistant (Wildlife Management) | CAWM | Eline Reginald Maleko; Phoebe John Mpanzo |
2. Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
| Kada | Kituo | Majina |
| Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II | Ikungi | Harrson January Filex; Nchimbi Daud Mapunda |
| Afisa Maendeleo ya Jamii Daraja II | Ikungi | Yussuph Issa Rashidi |
| Afisa Mifugo Msaidizi Daraja la II | Ikungi | Mohamed Jafary Litunu |
| Afisa Utamaduni Daraja la II | Ikungi | Amos Godwin Ndimbo |
| Msaidizi wa Afya Daraja la I | Ikungi | Joanta Ezrom Kiyame |
| Msaidizi wa Afya Daraja la II | Ikungi | Cesilia Moses Komba; Scolastica John Kirway |
| Mwalimu Daraja la III B - Baiolojia | Shule ya Sekondari Lighwa | Gafachu Giringi Gedaghuwang' |
| Mwalimu Daraja la III B - Baiolojia | Shule ya Sekondari Nkuhi Mtaturu | Philipo Michaeli Nakei |
| Mwalimu Daraja la III C - Kiswahili | Shule ya Sekondari Kintandaa | Vaileth Simon Mathias |
| Mwalimu Daraja la III C - Kiswahili | Shule ya Sekondari Minyughe | Macrina Emanuel Lapya |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Ilowoko | Irene Simon Samwel |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Lainichungu | Grace Joseph Nkomela |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Mau | Jesca Marthon Edwin; Zenobia Erasto Nsemwa |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Mtakuja | Minaeli Eliamini Ngoma; Yunisi Mashaka Chiyoga |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Muve | Anitha Majuluhu Mbuhe; Victoria Anathe Pallangyo |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Simbikwa | Neema Nathan Chaula; Rebeka Raphael Mbambila |
| Mwalimu Daraja la IIIC - Kemia | Shule ya Sekondari Mkunguakihendo | Anna Sadiki Mshango |
3. Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga
| Kada | Kituo | Majina |
| Afisa Kilimo Msaidizi Daraja la II | Mkinga | Amoni Mwesiga Kalugendo; Twilumba Bathlomeo Luvinga |
| Msaidizi wa Afya Daraja la I | Mkinga | Faraji Ibrahimu Muhidini; Flora Daniel Suti; Helman Samsoni Nzunda |
| Mwalimu Daraja la III C - Historia | Shule ya Sekondari Kasera | Jaccob Lameck Andwe |
| Mwalimu Daraja la III C - Jiografia | Shule ya Sekondari Kasera | Joseph Timothy Ipwaya |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Bamba Estate | Samwel Jackson Rweyemamu |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi bamba Hinduro | Aidani Daimon Mwambwiga |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Bamba Mwarongo | Azizi Salumu Athumani |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi bawa | Edson Joseph Mwasangula |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi boma | Jastin Gaudensi Haneriko |
| Mwalimu Daraja la IIIC - Baiolojia | Shule ya Sekondari Gobero | Julius Deo Masweto |
| Tabibu Daraja la II | Mkinga | Yusuph Kapoli Kanyota |
4. Halmashauri ya Wilaya ya Songwe
| Kada | Kituo | Majina |
| Afisa Ugavi Msaidizi | Songwe | Richard Kashinje Mahenda |
| Afisa Ukaguzi wa Ndani Daraja la II | Songwe | Lydia Jonas Mollel |
| Msaidizi wa Afya Daraja la I | Songwe | Amos Lucas Otieno; Anesia Simon Mlimbwa; Fabiola Kelvin Matembo; Gifti Josephat Mkwizu; Salu Kitungulu Mhuli; Talki Hussein Chande; Tatu Ibrahim Mayoka; Theresia Andrea Haule; Veronica Francis Sumbe; Warda Rashid Haruna |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Ifuko | Evarista Christian Munishi |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Manda Juu | Habiba Adam Ramadhani |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Mpangala | Anna Olvine Tarimo; Flora Loishiye Mollely |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Mteka | Ester Tusime Dastan; Vaileth Venant Lusoni |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Namambo | Miriam Aremu Nnko |
| Mwalimu Daraja la IIIA | Shule ya Msingi Some | Melesiana Joseph Ruhungu |
| Tabibu Daraja la II | Songwe | Ayubu Jimson Mgowole; Robson Adrian Juma |
5. Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)
| Kada | Kituo | Majina |
| Research Assistant (Civil Engineering) | CAMARTEC | Bahati Raphael Mwasimba |
| Research Assistant (Industrial Engineering) | CAMARTEC | Herriel Samuel Saktay |
6. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)
| Kada | Kituo | Majina |
| Conservator III - Wildlife Management Officer | TAWA | Regina Ipyana Mbassy |
7. Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
| Kada | Kituo | Majina |
| Afisa Habari Daraja la II - Ubunifu wa Michoro (Graphic Design) | NAOT | Abuu Zuberi Mshamu |
| Afisa Habari Daraja la II - Uandishi wa Habari | NAOT | Yoramu Mrobezi Misako |
| Mkaguzi Daraja la II | NAOT |
Abdul Ally Ngaugula; Adam Solobaya Khatib; Aisha Rajabu Kaniki; Akram Alli Saidi; Ally Haji Mzee;
Alumbwage Alfred Kilasi; Amani Siasa Geuza; Amini Lazaro Lutera; Amisa Anass Jabel; Anastazia Mussa Mbogai;
Augustino Zacharia Elinazi; Ayubu Shabani Maganga; Betrida Gordatus Kokuteta; Bonifas Daniel Mollel;
Brian Heavenlight Minja; Bright Heavenlight Simbo; Britney Julius Kavumo; Byera Onesphoro Kamala;
Cephace Francis Matokya; Clemence John Mjujulu; Dafroza Medard Kapurula; Debora Anania Mtundu;
Denis Evarist Tesha; Diana Joseph Mrosso; Dianarose Leonard Karani; Dora Sindiyo Mollel; Dorcas James Chao;
Dotto Yusuph Moga; Edwin Edward Tindalwesile; Elias Evarist Mihigo; Elizabeth Jacob Mwaimu;
Emanuel Yona Mfikwa; Emmanuel Benedict Mtenga; Emmanuel Boniexuper Kiwango; Esther Paul Chama;
Esther Solomon Mwalingo; Eunice Godwin Mweteni; Eva Moses Mfinanga; Evaroline Gwakisa Bapala;
Felix Rwechumbiza Furgence; Fredrick Goodchance Machange; Geofrey Boniface Luhanga; Germini Shirima Germini;
Given Norbet Msangila; Gladness Hosea Chaula; Gladness Zachariah Mushi; Godfrey Paschal Kaheshi;
Grace Elisha Mrehu; Gradness Epiphanus Mgaya; Haruni Yona Mnzava; Hassan Abbas Rumbona;
Hussein Shabani Mtonda; Innocent Paulo Ngarashi; Isack Mneba Mholo; Issa Mahmoud Shomvi;
Jastine Mwikwabe Nyakisakwa; Jenifa Adolph Abel; Jesca Mdudu Daudi; Joseph Geofrey Mushi;
Kasirida Anael Renatus; Kate Muhammed Seif; Kazimil Njemu Lucas; Kelly William Mutaki;
Kelvin Evarist Swai; Kelvin Peter Nyamagatala; Kidunda Daudi Bukama; Kingdom Arrison Jastine;
Laurent Charles Nzumbi; Lucas Evaristy Sway; Lulu Twalib Msangi; Magesa Samo Ayoub; Martin Bruno Kweka;
Mathias Peter Warioba; Merina Pius Peter; Michael Sunday Mwamsaku; Miraji Haji Olomi;
Mnegela Machumu Manyama; Mohamed Mwinyi Abdu; Mosi Juma Sultani; Musa Laiton Mwampashi;
Musa Nzige Ndama; Mwajuma Issa Kabeje; Nancy Leonard Chimagu; Nasma Hamis Ismail;
Noel Zabron Nashokigwa; Nyamka Rajabu Kauta; Oscar Rogathe Lema; Patrick Yusuph Jaha;
Perpetual Valence Massawe; Peruth Mabula Manyilizu; Pius Revelian Tingilakabi;
Prince Themistocres Katabazi; Privatus Charles Masolwa; Rabia Athuman Mdoe; Regina Aureus Kapinga;
Reginald Christopher Bennet; Robin Noel Eliphasi; Romana Corneli Mtoi; Rukaiya Malick Rushagama;
Sabina Florence Mwenda; Sara Festo Mramba; Sarah Zephania Mollel; Shamasuvat Julius Naunga;
Shedrack Riziki Beda; Sherally Hassan Amigo; Sophia Flavian Mgomera; Stella Samson Chiemo;
Stellah Antony Komba; Surmise William Atter; Swablin Abdul Masenza; Sylvester Barack Shija;
Tabia Aggrey Nzingana; Upendo Anita Lyimo; Upendo Onesmo Mwihambi; Upendo Patrick George;
Valeria Ephraim Lyakurwa; Walter Simon Mrosso; Whitney Innocent Mushi; Winfrida Joseph Mwaipyana;
Winnie Abraham Singeen; Zainab Mussa Hozza
|
| Mkaguzi Daraja la II - Usanifu wa Majengo (Architecture) | NAOT | Silvia Samson Shakilyoma |
| Mkaguzi Daraja la II - Menejimenti ya Kodi | NAOT | Daniel Mourice Ongei; Ester Stephano Haji |
| Mkaguzi Daraja la II - Ukadiriaji Ujenzi (Quantity Survey) | NAOT | Wema Osca Mtenga |
| Mkaguzi Daraja la II - Famasia (Pharmacy) | NAOT | Msamba John Matoro |
| Mkaguzi Daraja la II - Mipango ya Matumizi ya Ardhi (Land Use Planning) | NAOT | Daniel Douglas Mpangala |
| Mkaguzi Daraja la II - Sayansi ya Taarifa za Kijiografia (Geoinformatics) | NAOT | John Tumaini Michael |
| Mkaguzi Daraja la II - Sayansi ya Takwimu Bima (Actuarial Science) | NAOT | Zipporah Wilbard Makambi |
| Mkaguzi Daraja la II - Udaktari wa Mifugo (Veterinary Medicine) | NAOT | Emmanuel Evaristo Mlowe |
| Mkaguzi Daraja la II - Uhandisi wa Umeme (Electrical Engineering) | NAOT | Saidi Mrisho Mtowela |
| Mkaguzi Daraja la II - Uhandisi wa Umwagiliaji na Rasilimali za Maji | NAOT | James Bazilio Gaitina |
| Mkaguzi Daraja la II - Uhandisi wa Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) | NAOT | Yusuph Vicent Josephat |
| Mkaguzi Daraja la II - Ustawi wa Jamii (Social Welfare) | NAOT | Nancy Abdon Moses |
| Mkaguzi Daraja la II - Afya ya Jamii (Public Health) | NAOT | Juliana Obote Kippa |
| Mkaguzi Daraja la II - Uhandisi wa Maji na Usafi wa Mazingira | NAOT | Daudi Joseph Francis; Maiga Amosi Valentine |
| Mkaguzi Daraja la II - Uthaminishaji Ardhi (Land Valuation) | NAOT | Auxanus Cornel Chambulila |
| Mkaguzi Daraja la II - Uhandisi wa Ujenzi (Civil Engineering) | NAOT | Mgeta Stephano Mgeta; Ramadhani Feruzi Hassani |
8. Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
| Kada | Kituo | Majina |
| Driver II | TBS | Ramadhani Yusuph Malungu |
| Laboratory Assistant II | TBS |
Aisha Ally Bakari; Amosi Stanley Shewed; Beatrice John Kiango; Emmanuel Nicolous Nyahumwa;
Fadhili Issa Ngwena; Gloria Basileo Hiluka; Jackson Emanuel Msusu; John Raphael Saimon;
Ladislaus Mathias Felician; Maira Lucas Nyamwaga; Marco Josephath Makindi; Mboni Nyerere Mhina;
Neema Kokulengya Stephano; Robert Emmanuel Shitanta; Scholastica Emmanuel Masoya;
Winfrida Gaudence Moshi; Yunis Samson Anthony
|
| Quality Assurance Officer II (Chemistry) | TBS | Samora Nyambaro Mathayo; Wedson Abel Mohamed |
9. Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
| Kada | Kituo | Majina |
| Assistant Laboratory Technician II | TANROADS | Fatma Abdul Mbaraka; Magdalena Fedrick Kipendawatoto; Stella Jonathan Chedego |
| Technician Weighbridge II (Civil and Highway) | TANROADS |
Brian Claud Kasanga; Collins Wilson Kisarika; Fadhael John Mboi; Hafidhi Hassani Nguzo;
Japhet Justine Traseas; Joiven Festo Mugele; Leah Stephen Mwagumbo; Robert Samwel Kihogo;
Twaha Kasimu Mpewa; Vicent Deogratias Masunga
|
| Technician Weighbridge II (Electrical) | TANROADS |
Baraka Elias Kundaeli; Daniel Frank Mwasaka; Denilson Deus Wamara; Denis Dominic Haule;
Elias Mohere Range; Emmanuel Kazinza Masalu; Felix Alex Mganda; Filbert Sirili Mworia;
Francis Justine Mhadamali; Jasintha Sadock Elias; Joseph Herman Joseph; Joseph Saimon Mabenga;
Kunga Athumani Bakari; Magreth Emanuely Ngwira; Makala Marco Timothy; Moses Micah Ngussa;
Paul Sagenda Sayi; Shaban Bonifasy Mikho; Shafii Hamza Kambona; Shaibu Seif Shaibu
|
| Technician Weighbridge II (Mechanical and Automobile) | TANROADS |
Abedi Ramadhani Salehe; Achuda Juma Bujoro; Ahmed Juma Nyangasa; Aman Emmanuely Mlay;
Aziz Joseph Magori; Beatrice Christopher Komba; Benjamini Simon Muhaha; Bruno John Mbaga;
Emmanuel Sheria Daniel; Erick Peter Malulu; Fadhil Amos Ringo; Fauzia Jumanne Juma;
Fidelis Joseph Mghanga; Grace Stephano Kabeba; Hamisi Mohamedi Nyatu; Ibrahim Hassan Nalamba;
Iqram Abdul Jafari; Leogard Mario Mbisa; Magoro Charles Masatu; Meckson Elias Chambanenge;
Mustafa Haji Shomari; Mwinyi Rajabu Mohamedi; Ntahondi Javan Ibrahim; Oscar Alex Lihawa;
Ramadhani Mohammed Rwambo; Samwel Nazareth Paul; Shafii Zuberi Jafari; Simai Kalala Seko;
Veronica Tabson Chuma; Wilson Fadhili Mtaita
|
Chanzo cha Tangazo
Tangazo hili limetolewa na Katibu, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma.
Pakua PDF Hapa
0 Comments